HMD Skyline user guide

Skip to main content
All devices
Download

HMD Skyline

Download

Vitufe na sehemu

Simu yako

Simu yako

Mwongozo huu wa mtumiaji hutumika kwa modeli zifuatazo: TA-1600, TA-1688.

  1. Kipenyo cha SIM na kadi ya kumbukumbu
  2. Maikrofoni
  3. Kipaza sauti
  4. Kufungua jalada la nyuma
  5. Kamera
  6. Mweko
  7. Kitufe maalum/Papo hapo
  8. Kamera
  9. Kifaa cha sikioni
  10. Kigundua vitu vya karibu
  11. Vitufe vya sauti
  12. Kitufe cha Nishati/Kufunga, Sensa ya alama ya kidole
  13. Kiunganisha USB

Baadhi ya vifaa vya ziada vilivyotajwa katika mwongozo huu wa mtumiaji, kama vile chaja, kifaa cha kichwani, au kebo ya data, huenda vikauzwa kando.

Sehemu na viunganishaji, hali ya sumaku

Usiunganishe kwenye bidhaa ambazo zinaunda ishara ya kutoa, kwa kuwa hii inaweza kuharibu kifaa. Usiunganishe chanzo chochote cha stima kwenye kiunganisha cha sauti. Ukiunganisha kifaa chochote cha nje au kifaa chochote cha kichwa kando na zile zilizoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki, Kiunganishi cha sauti, kuwa makini sana na viwango vya sauti.

Sehemu nyingine za kifaa hiki zina sumaku. Vitu vya chuma vinaweza kuvutwa na kifaa. Usiweke kadi za karadha au kadi nyingine zenye tepe ya sumaku karibu na kifaa kwa vipindi virefu vya muda, kwa kuwa kadi hizo zinaweza kuwa zimeharibika.

Did you find this helpful?

Useful links

Software updatesProduct warrantyFull specificationsEnvironmental profile
Anza kutumia
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
  • Tumia eSIM yako

Set Location And Language