Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 6.2

Skip to main content
All Devices

Nokia 6.2

Mipangilio ya SIM Mbili

Ikiwa una toleo la SIM mbili, unaweza kuwa na SIM 2 kwenye simu yako, kwa mfano, moja ya kazi yako na nyingine ya matumizi yako ya kibinafsi.

Chagua ni SIM gani ya kutumia

Kwa mfano, wakati unapiga simu, unaweza kuchagua ni SIM gani ya kutumia kwa kugusa kitufe kinacholingana cha SIM 1 au SIM 2 baada ya kupiga nambari hiyo.

Simu yako huonyesha hali ya mtandao ya SIM zako kitofauti. SIM kadi zote zinapatikana kwa wakati mmoja wakati kifaa hakitumiki, lakini wakai SIM kadi moja inatumika, kwa mfano, wakati wa kupiga simu, ile nyingine inawezakosa kupatikana.

Dhibiti SIM zako

Hutaki kazi iingiliane na muda wako huru? Au una muunganisho wa bei nafuu wa data kwenye SIM moja? Unaweza kuamua ni SIM gani unayotaka kutumia.

Gusa Mipangilio > Mtandao na Intaneti > SIM Kadi.

Badili jina la SIM kadi

Gusa SIM unayotaka kubadilisha jina, na uandike jina unalotaka.

Chagua ni SIM gani ya kutumia kwa simu au muunganisho wa data

Chini ya SIM unayopendelea ya, gusa mpangilio unaotaka kubadilisha na uchague SIM.
Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you