Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 6.2

Skip to main content
All Devices

Nokia 6.2

Tumia kamera yako kama mtaalamu

Tumia hali tofauti katika kamera yako ili kuboresha ubora wa picha zako.

Jifunze kuhusu mipangilio yako ya kamera

Katika programu ya Kamera, gusa menu ili kujifunza mengi kuhusu kila mpangilio.

Weka ukungu nyuma ya picha yako

Kama unataka kuweza kubadilisha eneo lengwa la picha yako baada ya kuipiga na kuweka ukungu nyuma ya picha yako, tumia athari ya bokeh wakati unapiga picha. Hariri picha yako kwa kutumia Kihariri cha Wima Kamili na ujaribu athari tofauti za kuweka ukungu katika mandharinyuma. Unaweza kutumia athari za bokeh kupiga picha binafsi.

  1. Gusa Kamera > Wima.
  2. Lenga unachotaka kupiga picha, na uguse panorama_fish_eye.
  3. Chagua picha uliyopiga, unaweza kuiona katika kona ya chini kulia.
  4. Gusa tune > Kihariri cha Wima ili kuhariri picha yako.

Piga picha ya urembo

Hata baada ya usiku mrefu, unaweza bado kuonekana vizuri. Piga picha binafsi kwa kutumia kichujio cha urembo.

  1. Gusa Kamera > .
  2. Gusa Wima > > , na ukokote kitelezi kwa mapendeleo yako.
  3. Gusa panorama_fish_eye.

Piga picha usiku

Ili kupiga picha zenye ubora wa juu usiku au katika hali ya mwangaza hafifu, washa hali ya Usiku. Gusa Kamera > Usiku na ufuate maagizo kwenye simu yako.

Piga picha yenye mtazamo mpana

Kupiga picha nzuri ya mazingira, washa hali ya mtazamo mpana, Gusa Kamera > . Kurudi kwenye hali ya kawaida, gusa > .

Weka kamera katika hali Pro

Gusa Kamera > Pro.

Piga picha kwa kutumia kipima saa

Unataka kuwa na muda wa kuingia kwenye picha pia? Jaribu kutumia kipima saa.

  1. Gusa Kamera.
  2. Gusa . Kitufe huonyesha mpangilio wa kipima saa. Ili kuibadilisha, iguse tena.
  3. Chagua muda wa kipima saa.
  4. Gusa panorama_fish_eye.

Piga picha zenye ubora wa juu

Katika programu ya Kamera, gusa menu > Mwonekano wa Picha, na uweke mwonekano anayotaka.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Kamera
  • Misingi ya kamera
  • Rekodi video
  • Tumia kamera yako kama mtaalamu
  • Hifadhi picha na video zako kwenye kadi ya kumbukumbu
  • Picha na video zako

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you