Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 6.2

Skip to main content
All Devices

Nokia 6.2

Vitufe na sehemu

Chunguza vitufe na sehemu kwenye simu yako mpya.

Simu yako

Simu yako

Mwongozo huu wa mtumiaji unatumika kwa modeli zifuatazo: TA-1198, TA-1200, TA-1187, na TA-1201.

  1. Sensa ya alama ya kidole
  2. Kamera
  3. Maikrofoni
  4. Mweko
  5. Kipenyo cha SIM na kadi ya kumbukumbu
  6. Kisaidizi cha Google/Kitufe cha Utafutaji wa Google1
  7. Kamera ya mbele
  8. Kifaa cha sikioni
  9. Kiunganisha kifaa cha sauti
  10. Vitufe vya sauti
  11. Kitufe cha Nishati/Kufunga
  12. Kiunganisha USB
  13. Maikrofoni
  14. Kipaza sauti

Baadhi ya vifaa vya ziada vilivyotajwa katika mwongozo huu wa mtumiaji, kama vile chaja, kifaa cha kichwa, au kebo ya data, huenda vikauzwa kando.

Muhimu: Skrini ya kifaa na kifuniko cha nyuma imetengenezwa kwa glasi. Glasi hii inaweza kuvunjika kifaa kikiangushwa mahali pagumu au kupokea mgongano mzito. Glasi ikivunjika, usiguse sehemu za glasi za kifaa au ujaribu kuondoa glasi iliyovunjika kutoka kwa kifaa. Acha kutumia kifaa hadi glasi ibadilishwe na mhudumu aliyeidhinishwa.

Sehemu na viunganishaji, hali ya sumaku

Usiunganishe kwenye bidhaa ambazo zinaunda ishara ya kutoa, kwa kuwa hii inaweza kuharibu kifaa. Usiunganishe chanzo chochote cha stima kwenye kiunganisha cha sauti. Ukiunganisha kifaa chochote cha nje au kifaa chochote cha kichwa kando na zile zilizoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki, Kiunganishi cha sauti, kuwa makini sana na viwango vya sauti.

Sehemu nyingine za kifaa hiki zina sumaku. Vitu vya chuma vinaweza kuvutwa na kifaa. Usiweke kadi za karadha au kadi nyingine zenye tepe ya sumaku karibu na kifaa kwa vipindi virefu vya muda, kwa kuwa kadi hizo zinaweza kuwa zimeharibika.

Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you