Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 6

Skip to main content
All Devices

Nokia 6

Funga muunganisho

Funga miunganisho ya intaneti

Okoa betri yako kwa kufunga miunganisho ya intaneti ambayo imefunguka chini chini. Unaweza kuifanya bila kufunga programu zozote.

  1. Gusa Mipangilio > Wi-Fi.
  2. Badilisha Wi-Fi kwa Zima.

Funga muunganisho wa data ya simu ya mkononi

  1. Pitisha chini kutoka juu ya skrini.
  2. Gusa network_cell.
  3. Badilisha Data ya simu ya mkononi kwa Zima.

Washa hali ya ndege

  1. Gusa Mipangilio > Zaidi.
  2. Washa Hali ya ndege.

Hali ya ndege hufunga miunganisho kwenye mitandao ya simu za mkononi na huzima vipengele pasiwaya vya kifaa chako. Fuata maagizo na mahitaji ya usalama yanayotolewa na, kwa mfano, ndege, na sheria na masharti yoyote husika. Inaporuhusiwa, unaweza kuunganisha kwenye mtandao wa Wi-Fi ili, kwa mfano, vinjari intaneti au washa kushiriki Bluetooth kwenye hali ya ndege.

Did you find this helpful?
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Intaneti na miunganisho
  • Amilisha Wi-Fi
  • Tumia muunganisho wa data ya simu ya mkononi
  • Vinjari wavuti
  • Funga muunganisho
  • Bluetooth
  • NFC
  • VPN

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you