Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 6

Skip to main content
All Devices

Nokia 6

Muziki

Sikiliza muziki wako unaopenda mahali popote ulipo.

Cheza muziki

  1. Gusa Cheza Muziki > menu > Maktaba ya muziki.
  2. Gusa msanii, albamu, wimbo, mtindo, au orodha ya kucheza unayotaka kucheza.

Sitisha au endelea kucheza

  1. Gusa upau wa Inayocheza Sasa chini ya skrini ili ufungue Inayocheza Sasa.
  2. Gusa play_arrow au pause.
Dokezo: Ili kucheza nyimbo bila mpangilio, gusa shuffle.

Unda orodha ya kucheza

Panga nyimbo zako kwenye orodha za kucheza, ili uweze kusikiliza muziki ambao unafaa hisia yako.

  1. Wakati unacheza wimbo, gusa more_vert > Ongeza kwenye orodha ya kucheza.
  2. Ili kuongeza wimbo kwenye orodha yako mpya ya kucheza, gusa ORODHA MPYA YA KUCHEZA, au, ili kuongeza wimbo kwenye orodha ya kucheza iliyopo, chagua orodha ya kucheza kwenye orodha.

Ongeza nyimbo kwenye simu yako

Ikiwa una muziki au video iliyohifadhiwa kwenye kompyuta yako, lakini unataka kuzifikia kwenye simu yako, tumia kebo ya USB ili kusawazisha midia kati ya simu na kompyuta yako.

  1. Unganisha simu yako kwenye kompyuta inayotangamana na kebo ya USB.
  2. Kwenye kidhibiti cha faili cha kompyuta yako, kokota au dondosha nyimbo na video zako kwenye simu yako.
Did you find this helpful?
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Muziki na video
  • Muziki
  • Video
  • Redio ya FM

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you