Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 6

Skip to main content
All Devices

Nokia 6

Tafuta maeneo na upate maelekezo

Pata mahali

Ramani za Google hukusaidia kupata maeneo na biashara mahsusi.
  1. Gusa Ramani.
  2. Andika maneno ya kutafuta, kama vile anwani ya mtaa au jina la mahali, katika upau wa utafutaji.
  3. Chagua kipengee kwenye orodha ya matokeo yanayopendekezwa unapokuwa ukiandika, au gusa searchili kutafuta.

Eneo huonyeshwa kwenye ramani. Ikiwa hakuna matokeo ya utafutaji yatakayopatikana, hakikisha tahajia ya maneno yako ya utafutaji ni sahihi.

Angalia eneo lako la sasa

Gusa Ramani > my_location.

Tafuta mikahawa na maeneo mengine yanayovutia karibu nawe

Gusa Ramani na upau wa utafutaji, na uchague kategoria

Pata maelekezo ya mahali

Pata maelezo ya kutembea, kuendesha gari, au kutumia uchukuzi wa umma - tumia eneo lako la sasa au eneo lingine kama mahali pa kuanzia.

  1. Gusa Ramani. Ingiza eneo unalotaka kupata maelekezo kwenye upau wa utafutaji.
  2. Gusa Maelekezo. Aikoni kwenye mviringo huwakilisha hali ya uchukuzi. Hali msingi ya mwelekeo ni gari directions_car. Kama unataka maelekezo ya kutembea au ya uchukuzi wa umma, chagua hali chini ya upau wa utafutaji.
  3. Kama hutaki mahali pa kuanza kuwa eneo lako la sasa, gusa Eneo lako, na utafute mahali pa kuanza.
  4. Gusa ANZAili kuanza urambazaji.

Njia huonyeshwa kwenye ramani, pamoja na makadirio ya muda unaochukua kufika hapo. Ili kuona maelekezo tondoti, pitisha juu kuanzia chini ya skrini kwa maelezo.

Did you find this helpful?
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Ramani
  • Tafuta maeneo na upate maelekezo
  • Pakua na usasishe ramani
  • Tumia huduma za eneo

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you