Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 3310 3G

Skip to main content
All Devices

Nokia 3310 3G

Simu

Piga simu

Jifunze jinsi ya kupiga simu kwa kutumia simu yako mpya.

  1. Ingiza namba ya simu. Ili kucharaza kibambo cha +, kinachotumiwa kwa simu za kimataifa, bonyeza * mara mbili.
  2. Bonyeza kitufe cha simu. Ukiulizwa, chagua ni SIM gani ya kutumia.
  3. Kukata simu, bonyeza kitufe cha kukata.

Jibu simu

Bonyeza .
Dokezo: Ili kushughulikia simu zako bila kutumia mikono, oanisha simu yako kwa kutumia kifaa cha kichwa cha Bluetooth kinachotangamana (kinachouzwa kando) Ili kuwasha Bluetooth, chagua Menyu > > Muunganisho > Bluetooth, na uweke Bluetooth kwa Washa.
Kidokezo:Ikiwa uko katika hali ambayo huwezi kujibu simu na unahitaji kuinyamazisha kwa haraka, bonyeza .

Upigaji simu haraka

Unaweza kupigia simu jina kwa haraka kwa kutumia upigaji simu haraka.

  1. Ili kuwaongeza watu kwenye orodha yako ya upigaji simu haraka, chagua Menyu > .
  2. Chagua > Upigaji simu haraka na uwashe Upigaji simu haraka.
  3. Chagua Hariri.
  4. Tembeza kwenye nambari inayopatikana ya upigaji simu haraka, na uchague Ongeza.
  5. Chagua jina.

Unaweza kuchagua kama simu itapiga simu au kutuma ujumbe wakati unapobonyeza kitufe cha kupiga simu haraka. Kimsingi, simu hupiga simu. Ili kubadilisha simu kwa ujumbe wa maandishi, chagua upigaji simu haraka na > Pangia kwa ujumbe wa maandishi.

Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Funga au fungua vitufe
Simu, majina, na ujumbe
  • Simu
  • Majina
  • Tuma na upokee ujumbe

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you