Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 3310 3G

Skip to main content
All Devices

Nokia 3310 3G

Nakili maudhui

Nakili picha, video, muziki, na maudhui mengine yaliyoundwa na wewe kati ya simu na kompyuta yako.

Nakili maudhui kati ya simu yako na kompyuta

Kunakili maudhui kutoka kwenye kumbukumbu ya simu, unahitaji kuwa na kadi ya kumbukumbu iliyoingizwa kwenye simu yako.

  1. Unganisha simu yako kwenye kompyuta inayotangamana na kebo ya USB inayotangamana.
  2. Chagua Hifadhi data.
  3. Kwenye kompyuta yako, fungua kisimamia faili, kama vile Windows Explorer, na uvinjari simu yako. Unaweza kuona maudhui yaliyohifadhiwa kwenye simu yako na kwenye kadi ya kumbukumbu, ikiwa imeingizwa.
  4. Kokota na udondoe vipengee kati ya simu yako na kompyuta.
Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Funga au fungua vitufe
Nakili, shiriki na ondoa maudhui
  • Nakili maudhui
  • Shiriki maudhui
  • Kumbukumbu
  • Ondoa maudhui binafsi kwenye simu yako

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you