Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 3310 3G

Skip to main content
All Devices

Nokia 3310 3G

vitufe na sehemu

Chunguza vitufe na sehemu za simu yako mpya.

Simu yako

Simu yako

Vitufe na sehemu za simu yako mpya ni.

  1. Kiunganisha chaja
  2. Kifaa cha sikioni
  3. Kitufe cha ubiringizaji na uchaguzi
  4. Kitufe cha utendaji, kitufe cha simu
  5. Vitufe vya nambari
  6. Kitufe cha utendaji, kitufe cha kukata simu/nishati
  7. Kiunganisha kifaa cha kichwani
  8. Kamera
  9. Tochi
  10. Eneo la antena
  11. Kipenyo cha kufungua kifuniko cha nyuma
  12. Kipaza sauti

Ili kufunga vitufe kiotomatiki, chagua Menyu > > Usalama > Kilinda vitufe > Kilinda vit. kijiweke na uchague Washa.

Ili kufungua vitufe chagua Fungua na ubonyeze *.

Jiepushe kugusa eneo la antena bila sababu wakati antena inatumika. Ugusaji antena huathiri ubora wa mawasiliano na unaweza kupunguza maisha ya betri kwa sababu ya kiwango cha juu zaidi cha nishati wakati wa utendaji kazi.

Usiunganishe kwenye bidhaa ambazo zinaunda ishara ya kutoa, kwa kuwa hii inaweza kuharibu kifaa. Usiunganishe chanzo chochote cha stima kwenye kiunganisha cha sauti. Ukiunganisha kifaa chochote cha nje au kifaa chochote cha kichwa kando na zile zilizoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki, Kiunganishi cha sauti, kuwa makini sana na viwango vya sauti.

Sehemu nyingine za kifaa hiki zina sumaku. Vitu vya chuma vinaweza kuvutwa na kifaa. Usiweke kadi za karadha au vitu vingine vyenye kutumia hifadhi ya sumaku karibu na kifaa hiki, kwa sababu maelezo yaliyohifadhiwa kwenye vitu hivyo yanaweza kufutika.

Baadhi ya vifaa vya ziada vilivyotajwa katika kiongozi hiki, kama vile chaja, kifaa cha kichwani, au kebo ya data, huenda vikauzwa kando.

Kumbuka: Unaweza kuweka simu ikuulize msimbo wa usalama. Chagua Menyu > > Usalama > Kilinda vitufe na uweke Msimbo wa usalama kwa washa. Ikiwa kuna msimbo uliowekwa mapema, ni 12345. Ibadilishe ili ulinde faragha yako na data binafsi. Kumbuka, hata hivyo, wakati unabadilisha msimbo, unahitaji kukumbuka msimbo mpya, kwa kuwa HMD Global haiwezi kuufungua au kuiruka.
Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Funga au fungua vitufe

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you