Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 3310 3G

Skip to main content
All Devices

Nokia 3310 3G

Mipangilio ya ubinafsishaji

Badilisha toni yako ya mlio

  1. Chagua Menyu > > Binafsishaji > Sauti.
  2. Chagua Toni ya mlio.
  3. Tembeza kwa toni ya mlio.
  4. Bonyeza Chagua.

Badilisha mlio wako wa ujumbe

  1. Chagua Menyu > > Ubinafsishaji > Sauti > Arifa ya ujumbe.
  2. Tembeza kwenye toni ya ujumbe.
  3. Bonyeza Chagua.

Chagua pazia mpya

Unaweza kubadilisha usuli wa skrini yako ya mwanzo kwa kutumia pazia.

  1. Chagua Menyu > > Ubinafsishaji > Funga usuli wa skrini > Pazia.
  2. Tembeza kwenye pazia na ubonyeze Chagua ili uone jinsi inavyoonekana kwenye skrini.
  3. Bonyeza .

Unaweza pia kuchagua pazia kutoka kwenye picha unazo kwenye simu yako.

Chagua rangi mpya ya mandhari

Unaweza kubadilisha rangi ambayo simu yako hutumia kuangazia vipengee kama vile chaguo za menyu.

  1. Chagua Menyu > Ubinafsishaji > Mandhari.
  2. Tembeza kushoto au kulia ili uteue rangi.
  3. Bonyeza Chagua.

Chagua njia ya mkato ya kitufe cha utendaji cha kushoto na kulia

  1. Chagua Menyu > > Ubinafsishaji > Kibeba vitufe > Funga njia za mkato za skrini.
  2. Chagua Kitufe cha kulia au Kitufe cha kushoto na utembeze kwa programu au kitendaji unachotaka.
  3. Bonyeza Chagua.
Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Funga au fungua vitufe
Mipangilio
  • Mipangilio ya mfumo
  • Mipangilio ya uunganikaji
  • Mipangilio ya ubinafsishaji
  • Mipangilio ya saa na lugha
  • mipangilio ya usalama

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you