Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 3310 3G

Skip to main content
All Devices

Nokia 3310 3G

Ondoa maudhui binafsi kwenye simu yako

Ukinunua simu mpya, au uwe unataka kutupa au kuchakata upya simu yako, hivi ndivyo unavyoweza kuondoa maelezo na maudhui yako ya kibinafsi.

Ondoa maudhui kwenye simu yako

Wakati unaondoa maudhui ya binafsi kwenye simu yako, zingatia kama unaondoa maudhui kwenye kumbukumbu ya simu au SIM kadi.

  1. Ili kuondoa ujumbe, chagua Menyu > > > Futa mazungumzo. Chagua mazungumzo ambayo unataka kufuta, na uchague . Unaweza pia kuchagua > Teua yote ili kuchagua mazungumzo yote kwa wakati mmoja.
  2. Ili kuondoa majina, chagua Menyu > > > Futa majina. Chagua majina ambayo unataka kufuta, na uchague . Unaweza pia kuchagua > Teua yote ili kuchagua majina yote kwa wakati mmoja.
  3. Ili kuondoa malezo yako ya simu, chagua Menyu > > Futa zote.
  4. Kagua kwamba maudhui yako yote binafsi yameondolewa.
Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Funga au fungua vitufe
Nakili, shiriki na ondoa maudhui
  • Nakili maudhui
  • Shiriki maudhui
  • Kumbukumbu
  • Ondoa maudhui binafsi kwenye simu yako

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you